Ufafanuzi wa diploma katika Kiswahili

diploma

nominoPlural diploma

  • 1

    hati rasmi inayothibitisha kufikia na kufuzu kiwango fulani cha masomo au utaalamu zaidi ya elimu ya sekondari, agh. haifikii digrii.

    stashahada

Asili

Kng

Matamshi

diploma

/diplɔma/