Ufafanuzi wa diplomasia katika Kiswahili

diplomasia

nominoPlural diplomasia

  • 1

    kanuni na utaratibu wa kuanzisha na kuendeleza uhusiano baina ya mataifa.

  • 2

    mbinu za kushughulika na watu na kuwafanya waelewane.

Asili

Kng

Matamshi

diplomasia

/diplɔmasija/