Ufafanuzi wa diriji katika Kiswahili

diriji

nomino

  • 1

    ngoma ya watu wa pwani ya Afrika Mashariki inayochezwa na wanaume kwa bakora na/au panga.

Matamshi

diriji

/diriʄi/