Ufafanuzi msingi wa diski katika Kiswahili

: diski1diski2

diski1

nominoPlural diski

  • 1

    kitu kilicho bapa na agh. chenye umbo la duara.

    ‘Diski ya muziki’
    ‘Breki za diski’

Asili

Kng

Matamshi

diski

/diski/

Ufafanuzi msingi wa diski katika Kiswahili

: diski1diski2

diski2

nominoPlural diski

Asili

Kng

Matamshi

diski

/diski/