Ufafanuzi msingi wa diwani katika Kiswahili

: diwani1diwani2

diwani1

nominoPlural madiwani, Plural diwani

 • 1

  mtu aliyechaguliwa na watu wa kata fulani ili awawakilishe katika halmashauri ya mji au wilaya.

 • 2

  waziri, mshauri, hasa wa mfalme au mtawala wa nchi.

Asili

Kar

Matamshi

diwani

/diwani/

Ufafanuzi msingi wa diwani katika Kiswahili

: diwani1diwani2

diwani2

nominoPlural madiwani, Plural diwani

 • 1

  kitabu chenye mkusanyiko wa mashairi ya mshairi mmoja au mbalimbali.

 • 2

  mkusanyiko wa kazi nyingine za fasihi.

  ‘Diwani ya hadithi fupi’

Asili

Kar

Matamshi

diwani

/diwani/