Ufafanuzi wa dizeli katika Kiswahili

dizeli

nominoPlural dizeli

  • 1

    mafuta mazito kuliko mafuta ya taa na mepesi kuliko lami, yanayotumiwa katika magari, mashine, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

dizeli

/dizɛli/