Ufafanuzi wa dobi katika Kiswahili

dobi

nominoPlural madobi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kufua na kupiga pasi nguo za watu kwa malipo.

Asili

Khi

Matamshi

dobi

/dɔbi/