Ufafanuzi msingi wa dodi katika Kiswahili

: dodi1dodi2

dodi1

nominoPlural madodi, Plural dodi

  • 1

    nyuzi za shaba au chuma.

Ufafanuzi msingi wa dodi katika Kiswahili

: dodi1dodi2

dodi2

nominoPlural madodi, Plural dodi

  • 1

    mapambo ya shaba au chuma yanayovaliwa na wanamke miguuni, shingoni au mikononi.

Matamshi

dodi

/dɔdi/