Ufafanuzi wa doea katika Kiswahili

doea

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leka, ~lesha, ~lewa, ~wa

  • 1

    fanya hila za kutaka upewe chakula au kitu kingine kwa watu.

    buga, denda, doya, pandia, rombeza, dusa

Matamshi

doea

/dɔɛja/