Ufafanuzi wa dogesha katika Kiswahili

dogesha

kitenzi elekezi~eana, ~ea, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya kitu kuwa kidogo zaidi.

Matamshi

dogesha

/dɔgɛ∫a/