Ufafanuzi wa dogori katika Kiswahili

dogori

nomino

  • 1

    ngoma kubwa inayowambwa upande mmoja.

  • 2

    aina ya ngoma ya pungwa.

Matamshi

dogori

/dɔgɔri/