Ufafanuzi wa dole katika Kiswahili

dole

nomino

  • 1

    ndizi moja kwenye chane.

Matamshi

dole

/dɔlɛ/