Ufafanuzi msingi wa dona katika Kiswahili

: dona1dona2

dona1 , donoa

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  okota kimojakimoja kwa mdomo kama ndege anavyofanya.

 • 2

  kata kipande kidogokidogo kwa mdomo, hasa kwa mnyama.

Matamshi

dona

/dɔna/

Ufafanuzi msingi wa dona katika Kiswahili

: dona1dona2

dona2

nominoPlural dona

 • 1

  unga wa mahindi yaliyosagwa kwa mashine bila ya kuondolewa makapi yake.

 • 2

  ugali wa unga wa dona.

Matamshi

dona

/dɔna/