Ufafanuzi wa donati katika Kiswahili

donati, donasi

nominoPlural donati

  • 1

    aina ya andazi lenye umbo kama la bangili.

Asili

Kng

Matamshi

donati

/dɔnati/