Ufafanuzi wa dondakoo katika Kiswahili

dondakoo

nomino

  • 1

    ugonjwa wa koo unaoambukiza ambao husababisha kupumua kwa shida.

Matamshi

dondakoo

/dɔndakɔ:/