Ufafanuzi wa dondoandume katika Kiswahili

dondoandume

nomino

  • 1

    mwanamume anayependa mambo ya kike.

    msagaliwa

Matamshi

dondoandume

/dɔndɔwandumɛ/