Ufafanuzi wa donge katika Kiswahili

donge

nomino

  • 1

    kitu cha mviringo kilichoshikamana.

    ‘Donge la uzi’
    bonge, fumba, tufe

  • 2

    (ms) pesa, mapato, mshahara.

Matamshi

donge

/dɔngɛ/