Ufafanuzi wa dopa katika Kiswahili

dopa

nominoPlural madopa

  • 1

    kitu anachotumia mshonaji wa matanga ya vyombo vya majini ili kusukumia sindano katika kitambaa kigumu cha matanga.

    simbo

Matamshi

dopa

/dɔpa/