Ufafanuzi wa doriani katika Kiswahili

doriani, duriani

nominoPlural madoriani

  • 1

    tunda kubwa kama shelisheli lenye harufu kali, nyama tamu nyeupe na maganda yenye miba mirefu.

Asili

Khi

Matamshi

doriani

/dɔrijani/