Ufafanuzi msingi wa dorora katika Kiswahili

: dorora1dorora2

dorora1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    toka ute mdomoni mfano wa kamasi nyepesi kama mtoto mdogo au mtu aliyelala.

Matamshi

dorora

/dɔrɔra/

Ufafanuzi msingi wa dorora katika Kiswahili

: dorora1dorora2

dorora2

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    kosa wateja.

    ‘Biashara imedorora’
    doda, selea, gonea

Matamshi

dorora

/dɔrɔra/