Ufafanuzi wa dovuo katika Kiswahili

dovuo

nominoPlural madovuo

  • 1

    udenda unaotoa harufu mbaya.

Matamshi

dovuo

/dɔvuwɔ/