Ufafanuzi wa drafti katika Kiswahili

drafti

nominoPlural drafti

  • 1

    mchezo unaochezwa na watu wawili katika kibao cha umbo la mraba kilichochorwa miraba 24 na kutumia kete kuchezea.

Asili

Kng

Matamshi

drafti

/drafti/