Ufafanuzi wa dragoni katika Kiswahili

dragoni

nomino

  • 1

    mnyama mkubwa mkali wa kufikirika ambaye hutisha, hutema moto na huruka.

Asili

Kng

Matamshi

dragoni

/dragɔni/