Ufafanuzi msingi wa duara katika Kiswahili

: duara1duara2

duara1 , mduara

nominoPlural duara

 • 1

  umbo la mviringo.

  ‘Duara kamili ya umeme’
  mzunguko, mviringo

 • 2

Asili

Kar

Matamshi

duara

/duwara/

Ufafanuzi msingi wa duara katika Kiswahili

: duara1duara2

duara2

kivumishi

 • 1

  -enye mviringo; -a kuzunguka.

Matamshi

duara

/duwara/