Ufafanuzi wa dubwana katika Kiswahili

dubwana

nominoPlural madubwana

  • 1

    kitu au mtu aliye na umbo kubwa lisilo la kawaida.

  • 2

    kitu chochote kikubwa ambacho jina lake halijulikani.

    dude, nyangarika

Asili

Khi

Matamshi

dubwana

/dubwana/