Ufafanuzi wa dugika katika Kiswahili

dugika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa butu na kukosa makali.

  • 2

    jigongagonga kwa kitu kilichomo ndani ya chombo.

    tika

Matamshi

dugika

/dugika/