Ufafanuzi wa duka katika Kiswahili

duka

nominoPlural maduka

 • 1

  chumba panapouzwa na kununuliwa vitu; nyumba ya biashara.

  ‘Duka la jumla’
  ‘Duka la rejareja’
  ‘Weka duka’
  ‘Vunja duka’
  ‘Duka la kujichagulia mwenyewe’

Asili

Kar

Matamshi

duka

/duka/