Ufafanuzi wa dukuduku katika Kiswahili

dukuduku

nominoPlural dukuduku

  • 1

    machungu yanayomzonga mtu moyoni.

    wasiwasi, mfundo, kololo

Matamshi

dukuduku

/dukuduku/