Ufafanuzi wa dumiliza katika Kiswahili

dumiliza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    fanya udugu au urafiki kwa kugusishana damu au kuonja damu baada ya kujikata mahali; chanjiana uchale.

Matamshi

dumiliza

/dumiliza/