Ufafanuzi wa dundumio katika Kiswahili

dundumio

nominoPlural dundumio

  • 1

    sehemu ya umio iliyotokeza nje ya koo, huchezacheza mtu anapomeza kitu.

Matamshi

dundumio

/dundumijɔ/