Ufafanuzi msingi wa dunga katika Kiswahili

: dunga1dunga2dunga3

dunga1

kitenzi elekezi

 • 1

  choma kwa kitu chenye ncha.

  ‘Dunga sindano’
  ‘Dunga masikio’
  chocha, toboa, toga, tunga, choma

Matamshi

dunga

/dunga/

Ufafanuzi msingi wa dunga katika Kiswahili

: dunga1dunga2dunga3

dunga2

nomino

 • 1

  chombo cha kuchukulia vitu kilichofanana na jamanda kilichotengenezwa kwa miyaa; kapu lenye mfuniko.

  tunga

Matamshi

dunga

/dunga/

Ufafanuzi msingi wa dunga katika Kiswahili

: dunga1dunga2dunga3

dunga3

nomino

Matamshi

dunga

/dunga/