Ufafanuzi msingi wa dungu katika Kiswahili

: dungu1dungu2

dungu1

nomino

  • 1

    kilingo kama cha kulindia ndege au wanyama wasiharibu vyakula shambani.

  • 2

    ushindi katika mchezo wa mpira.

    bao, goli, fora

Matamshi

dungu

/dungu/

Ufafanuzi msingi wa dungu katika Kiswahili

: dungu1dungu2

dungu2

nomino

  • 1

    sehemu anayokaa rubani ndani ya ndege.

Matamshi

dungu

/dungu/