Ufafanuzi wa dungusikakati katika Kiswahili

dungusikakati

nominoPlural madungusikakati

  • 1

    mmea jamii ya mpungate, usiokuwa na majani, wenye shina nene lenye miba, utomvu mkali mwingi na agh. humea sehemu kame na za hali ya joto.

Matamshi

dungusikakati

/dungusikakati/