Ufafanuzi wa duodeni katika Kiswahili

duodeni

nominoPlural duodeni

  • 1

    sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba.

Asili

Kng

Matamshi

duodeni

/duɔdɛni/