Ufafanuzi wa dupa katika Kiswahili

dupa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    pita juu ya kitu k.v. kuinua mguu na kupita juu ya gogo lililolazwa.

    kiuka, vuka

  • 2

    gandamiza mbele.

Matamshi

dupa

/dupa/