Ufafanuzi wa dusumali katika Kiswahili

dusumali

nomino

  • 1

    kilemba cha kitambaa cha rangirangi kinachovaliwa na wanawake.

    ushungi, utaji

Asili

Kaj

Matamshi

dusumali

/dusumali/