Ufafanuzi wa duwaza katika Kiswahili

duwaza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu ashikwe na bumbuwazi, shangaza, pumbaza, staajabisha.

Matamshi

duwaza

/duwaza/