Ufafanuzi wa ee! katika Kiswahili

ee!

kiingizi

  • 1

    neno la kumwita mtu kwa dharau.

  • 2

    neno linalotumiwa na Wakristo katika sala kumwita Mwenyezi Mungu.

    ‘Ee Mungu’
    ‘Ee Bwana’

Matamshi

ee!

/ɛ:/