Ufafanuzi wa ehee! katika Kiswahili

ehee!, enhee!

kiingizi

  • 1

    neno linaloonyesha ukubaliano au hamu ya kuendelea kusikiliza linalosemwa.

    ndiyo!, barabara!, hasa!

Matamshi

ehee!

/ɛhɛ:/