Ufafanuzi wa eka katika Kiswahili

eka, ekari

nominoPlural eka

  • 1

    kipimo cha eneo la mita 4,047 za mraba.

  • 2

    hekta 0.4.

Asili

Kng

Matamshi

eka

/ɛka/