Ufafanuzi wa ekua katika Kiswahili

ekua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  bomoa mahali palipojengwa.

  ‘Ekua dari’
  ‘Ekua ngazi’
  ‘Ekua mlango’
  vunja

Matamshi

ekua

/ɛkuwa/