Ufafanuzi wa ekumeni katika Kiswahili

ekumeni

nominoPlural ekumeni

Kidini
  • 1

    Kidini
    jitihada za kushirikiana katika madhehebu mbalimbali ya dini ya Ukristo pia na dini nyingine.

Asili

Kng

Matamshi

ekumeni

/ɛkumɛni/