Ufafanuzi wa elekea katika Kiswahili

elekea

kitenzi sielekezi~lea, ~ka, ~za

 • 1

  tazama upande fulani.

  ‘Elekea kibla’
  kabili

 • 2

  enda upande fulani.

  ‘Unaelekea wapi?’

 • 3

  kuwapo kwa ishara au dalili.

  ‘Yaelekea watashinda’

Matamshi

elekea

/ɛlɛkɛja/