Ufafanuzi wa elekeza katika Kiswahili

elekeza

kitenzi elekezi

  • 1

    lenga

  • 2

    onyesha, hasa njia, kwa maelezo au mchoro.

    ‘Ali alinielekeza kwako’
    andisi

Matamshi

elekeza

/ɛlɛkɛza/