Ufafanuzi msingi wa elekezi katika Kiswahili

: elekezi1elekezi2

elekezi1

kivumishi

 • 1

  -enye kuelekeza.

Matamshi

elekezi

/ɛlɛkɛzi/

Ufafanuzi msingi wa elekezi katika Kiswahili

: elekezi1elekezi2

elekezi2

kivumishi

 • 1

  Sarufi
  (kwa kitenzi) -enye kuchukua yambwa k.m. ‘Mama anapika chakula’, kitenzi ‘pika’ ni kitenzi elekezi kwa sababu kinachukua nomino ‘chakula’ ambayo inaitwa yambwa.

 • 2

  katika kamusi hii inawakilishwa na kifupisho ele.

Matamshi

elekezi

/ɛlɛkɛzi/