Ufafanuzi wa elektroni katika Kiswahili

elektroni

nomino

Kemia
  • 1

    Kemia
    chembe hasi ya kimsingi iliyomo katika kila atomu.

  • 2

    Fizikia
    sehemu ya atomu yenye chaji hasi na inayozunguka kiini katika mzunguko maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

elektroni

/ɛlɛktrɔni/