Ufafanuzi wa elementi katika Kiswahili

elementi

nominoPlural elementi

Kemia
  • 1

    Kemia
    kitu kidogo kabisa ambacho hakiwezi kugawanyika tena kikemikali.

Asili

Kng

Matamshi

elementi

/ɛlɛmɛnti/