Ufafanuzi wa elemewa katika Kiswahili

elemewa

kitenzi sielekezi

  • 1

    zidiwa na uzito wa kitu ulichobeba.

  • 2

    kuwa na shughuli au kazi nyingi.

    ‘Ameelemewa na kazi nyingi’

Matamshi

elemewa

/ɛlɛmɛwa/