Ufafanuzi wa eleveta katika Kiswahili

eleveta

nominoPlural eleveta

  • 1

    mtambo wa kupandishia na kuteremshia watu au vitu unaowekwa kwenye nyumba za ghorofa.

    lifti, kambarau

Asili

Kng

Matamshi

eleveta

/ɛlɛvɛta/