Ufafanuzi wa elewesha katika Kiswahili

elewesha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~wa

  • 1

    eleza mtu jambo ili apate kulifahamu vyema.

    juvya

Matamshi

elewesha

/ɛlɛwɛ∫a/